Uzinzi na biashara

Uzinzi na biashara

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Naomba kuuliza eti pesa au biashara haviendani na uzinzi au kujaamiana na watu flani flani au kujamiiana na mtu flani specifically
Je ni kweli pesa huwa inakimbia ukianza kufanya uzinzi
Au ukiwa na mahusiano na watu flani flani?
Binafsi nina ushuhuda
Ukiwa msafi namaanisha haujamiiani mauzo na mzunguko wa pesa upo mkubwa sana,
Ila sina uhakika kama hiyo ni sababu pekee yake ila naomba wajuzi walichambue kweli kweli
Na je utajuaje kama huyu mtu ukiwa nae pesa haikimbii?
 
Kuna pisi ukilala nae, hela ndio znakua nashida na wewe yaani unaweza kaa ukakuta ten inakuja na upepo kama karatasi ikifuata eneo ulipo ilimradi tu uibebe.

Kuna mwingine after sex na simu za madeni zinaanza kuita.

NB;Epuka kuwa kila mwanamke ni halali yako kumla MIKOSI ipo wakuu.
 
Naomba kuuliza eti pesa au biashara haviendani na uzinzi au kujaamiana na watu flani flani au kujamiiana na mtu flani specifically
Je ni kweli pesa huwa inakimbia ukianza kufanya uzinzi
Au ukiwa na mahusiano na watu flani flani?
Binafsi nina ushuhuda
Ukiwa msafi namaanisha haujamiiani mauzo na mzunguko wa pesa upo mkubwa sana,
Ila sina uhakika kama hiyo ni sababu pekee yake ila naomba wajuzi walichambue kweli kweli
Na je utajuaje kama huyu mtu ukiwa nae pesa haikimbii?
Wanaofanya biashara ya ngono je unataka kuwaambiaje hapo?
 
Ukiwa mzinzi focus inahamia kwa zinaa na kale ka utamu kanakupumbaza basi huwazi kingine zaidi ya ngono hata upate pesa hutafanyia cha maana
 
Back
Top Bottom