masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
NakaziaImani tu hizo, kuna wanawake ukiwalala wana kismati balaa na wengine wanakuletea mikosi balaa
Shida ni kujua huyu hana upepo, huyu anao.Imani tu hizo, kuna wanawake ukiwalala wana kismati balaa na wengine wanakuletea mikosi balaa
Ukiolewa uni tag rafiki yangu🥰Ndio. Zinaa huleta ufakiri(ufukara/unasikini)
Hii ni Aya kabisa.
Nitaku tag baada ya Saba kuisha(honey moon)Ukiolewa uni tag rafiki yangu🥰
Usijal 🙏Nitaku tag baada ya Saba kuisha(honey moon)
Si unajua Tena😜
Wanaofanya biashara ya ngono je unataka kuwaambiaje hapo?Naomba kuuliza eti pesa au biashara haviendani na uzinzi au kujaamiana na watu flani flani au kujamiiana na mtu flani specifically
Je ni kweli pesa huwa inakimbia ukianza kufanya uzinzi
Au ukiwa na mahusiano na watu flani flani?
Binafsi nina ushuhuda
Ukiwa msafi namaanisha haujamiiani mauzo na mzunguko wa pesa upo mkubwa sana,
Ila sina uhakika kama hiyo ni sababu pekee yake ila naomba wajuzi walichambue kweli kweli
Na je utajuaje kama huyu mtu ukiwa nae pesa haikimbii?
Hi ni kweli kabisa asilimia milioni mia moja.Kuna pisi ukilala nae, hela ndio znakua nashida na wewe yaani unaweza kaa ukakuta ten inakuja na upepo kama karatasi ikifuata eneo ulipo ilimradi tu uibebe.
Hivi ni tarehe ngapi mkuu maana mwezi wa saba huu?Nitaku tag baada ya Saba kuisha(honey moon)
Si unajua Tena😜
13😊Hivi ni tarehe ngapi mkuu maana mwezi wa saba huu?
Ohh!