Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno!

MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI!

1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu

2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio)

3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati mwenzio)

4. Gharama za Usafiri ya watu wawili.

5. Gharama za Matibabu (Endapo umepata Kisonono,Kaswende au Pangusa).

6. Gharama za Kufata dawa za kumeza kila siku (Endapo umepata HIV/AIDS)

7. Gharama ya kifo.

ENDELEA NA UZINZI/UASHERATI TU LAKINI MWISHO WAKE NI MBAYA!
 
Bila Uzinzi maisha yangekuw bored sana..

Ukiona unapiga hesabu za kijinga kama Chakula na vinywaji tena vya watu wawili.. aisee tafuta hela kwa nguvu sana...

Hadi nauli mtu unakaa unaiwazia? Tutafute hela.. haya lodge ya 50k unaumiza kichwa na kusema ni gharama...?
 
Hakuna uzinzi Wala uasherati. Hizo ni akili za waleta dini. Binadamu kaumbwa na viungo vya uzazi kama wanyama wengine Ili kuwa duniani Kwa ajili ya kuzaana tu. Mwanaume hajaumbwa Kwa ajili ya kuwa na mwanamke mmoja. Fanya mapenzi sana Ili kuijaza Dunia sababu Bado Kuna mapori mengi hajafikiwa na binadamu.
 
Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno!

MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI!

1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu

2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio)

3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati mwenzio)

4. Gharama za Usafiri ya watu wawili.

5. Gharama za Matibabu (Endapo umepata Kisonono,Kaswende au Pangusa).

6. Gharama za Kufata dawa za kumeza kila siku (Endapo umepata HIV/AIDS)

7. Gharama ya kifo.

ENDELEA NA UZINZI/UASHERATI TU LAKINI MWISHO WAKE NI MBAYA!
Namba 1 mpk 4 , walau uwe na laki ..

Hayo mengine ni baada ya...
 
Kila binadamu kuna mahali huwa anapotezea fedha zake.

Kuna jamaa namfahamu sio mzinzi wala mlevi ila jamaa anapenda kula sana halafu hajali kiasi anachotumia kwenye kula.

Asubuhi atakula supu nzuri, mchana lunch kali, saa kumi supu tena usiku heavy meal.

Kwahiyo ukiona uzinzi gharama wapo wanaoona kula gharama.
 
Bila Uzinzi maisha yangekuw bored sana..

Ukiona unapiga hesabu za kijinga kama Chakula na vinywaji tena vya watu wawili.. aisee tafuta hela kwa nguvu sana...

Hadi nauli mtu unakaa unaiwazia? Tutafute hela.. haya lodge ya 50k unaumiza kichwa na kusema ni gharama...?
Matajiri wa jf bhana mna mikwala
 
Kila binadamu kuna mahali huwa anapotezea fedha zake.

Kuna jamaa namfahamu sio mzinzi wala mlevi ila jamaa anapenda kula sana halafu hajali kiasi anachotumia kwenye kula.

Asubuhi atakula supu nzuri, mchana lunch kali, saa kumi supu tena usiku heavy meal.

Kwahiyo ukiona uzinzi gharama wapo wanaoona kula gharama.
Kula hakumalizi helaa labda kama unakula sehemu za gharamaa.
 
izo gharama ulizotaja apo ni chamtoto especially kama una madem chini ya 10.
kama una zaidi ya hao af uamke mwingine anaitaji ya kusuka, mwingine kodi, mwingine anaumwa, mwingine anaitaji ya gesi, mwingine ya mchezo na vikoba, mwingine yupo mkoani anaitaji nauli aje mbona utajua ujui
 
Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno!

MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI!

1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu

2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio)

3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati mwenzio)

4. Gharama za Usafiri ya watu wawili.

5. Gharama za Matibabu (Endapo umepata Kisonono,Kaswende au Pangusa).

6. Gharama za Kufata dawa za kumeza kila siku (Endapo umepata HIV/AIDS)

7. Gharama ya kifo.

ENDELEA NA UZINZI/UASHERATI TU LAKINI MWISHO WAKE NI MBAYA!
Mwisho wa binadamu wote ni mbaya (kifo) hata usipofanya chochote.
 
Back
Top Bottom