TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Aziniye na mwanamke hana akili..
NJOO tuzini basi nikupe akili zanguAziniye na mwanamke hana akili..
Sikujua kama wewe mh mjumbe ni Tycoon [emoji2][emoji2]Hamna gharama mkuu, sema tu hauna hela....[emoji1787] ndio maana unapigia hesabu kulipia room wakati ma-tycoons wanalipia nyumba nzima masaki na mikocheni..[emoji4]
Namba 1 mpk 4 , walau uwe na laki ..Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno!
MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI!
1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu
2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio)
3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati mwenzio)
4. Gharama za Usafiri ya watu wawili.
5. Gharama za Matibabu (Endapo umepata Kisonono,Kaswende au Pangusa).
6. Gharama za Kufata dawa za kumeza kila siku (Endapo umepata HIV/AIDS)
7. Gharama ya kifo.
ENDELEA NA UZINZI/UASHERATI TU LAKINI MWISHO WAKE NI MBAYA!
SawasawaHamna gharama mkuu, sema tu hauna hela....🤣 ndio maana unapigia hesabu kulipia room wakati ma-tycoons wanalipia nyumba nzima masaki na mikocheni..😊
Matajiri wa jf bhana mna mikwalaBila Uzinzi maisha yangekuw bored sana..
Ukiona unapiga hesabu za kijinga kama Chakula na vinywaji tena vya watu wawili.. aisee tafuta hela kwa nguvu sana...
Hadi nauli mtu unakaa unaiwazia? Tutafute hela.. haya lodge ya 50k unaumiza kichwa na kusema ni gharama...?
WalikoseaAziniye na mwanamke hana akili..
Kula hakumalizi helaa labda kama unakula sehemu za gharamaa.Kila binadamu kuna mahali huwa anapotezea fedha zake.
Kuna jamaa namfahamu sio mzinzi wala mlevi ila jamaa anapenda kula sana halafu hajali kiasi anachotumia kwenye kula.
Asubuhi atakula supu nzuri, mchana lunch kali, saa kumi supu tena usiku heavy meal.
Kwahiyo ukiona uzinzi gharama wapo wanaoona kula gharama.
Mwisho wa binadamu wote ni mbaya (kifo) hata usipofanya chochote.Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno!