Uzinzi Unaua Akili Yako. Acha Uzinzi.

Iko vizuri sana hii...
 
Acha uzinzi, mwamini Yesu
 
Kwani huyo shetani anayelazimisha watu wafanye uzinzi ana bunduki? People just love having fun, acheni kusingizia roho chafu kila saa.
 
Huu ulioandika ndyo ukweli ila wazinzi hawatakuelewa
 
Tofauti na ukimwi na magonjwa ya zinaa uzinzi hauna shida kabisa , tiba na kinga zikipatikana tutazichapa mpaka zifuke moshi
Tofauti na ukimwi, mengine yote yanazungumzika. Uzinzi una mizizi mirefu, ngoja kwanza tuzini kidogo, itafika stage tutaacha tu wenyewe bila shuruti.
 
Tofauti na ukimwi, mengine yote yanazungumzika. Uzinzi una mizizi mirefu, ngoja kwanza tuzini kidogo, itafika stage tutaacha tu wenyewe bila shuruti.
Hapo tu bwashee, tofauti na hivyo kwa siku unachapa hata 20 bila wasiwasi kabisa
 
Hapo tu bwashee, tofauti na hivyo kwa siku unachapa hata 20 bila wasiwasi kabisa
Uzuri ni kuwa waķati utafika mwenyewe unaamua kutundika daluga, yaani mwili, akini na nguvu zinakuambia kabisa huwezi tulia, mda wako umeisha.

Wenye nguvu zenu endeleeni kuchakata, nyama tam bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…