Uzinzi Unaua Akili Yako. Acha Uzinzi.

Uzuri ni kuwa waķati utafika mwenyewe unaamua kutundika daluga, yaani mwili, akini na nguvu zinakuambia kabisa huwezi tulia, mda wako umeisha.

Wenye nguvu zenu endeleeni kuchakata, nyama tam bwana!
Kabisa , maukimwi tu ndio kisanga , ebu fikiria pamoja na ukimwi lakini watu wanazichapa mbaya mbovu , je usingekuwepo
 
Kuna utofauti gani wa hilo tendo kwa wanandoa na ambao sio wanandoa (ambapo kwenu ndo mnaona n uzinzi)?
Kuna vitu viwili tofauti uzinzi na uasherati

UASHERATI (Fornication)
Uasherati unahusu uhusiano wa kimwili unaofanyika kati ya watu wawili ambao hawajaoana kabisa yani wapenzi wanaochumbiana au wanaofanya ngono kabla ya ndoa

HALAFU KUNA UZINZI
Uzinzi unahusu uhusiano wa kimwili unaofanyika pale ambapo mmoja au wahusika wote wawili wapo ndani ya ndoa ya mtu mwingine. Yani ni pale mtu aliyeoa au kuolewa anapotoka nje ya ndoa yake na kufanya uhusiano wa kimwili na mtu mwingine tunaita uhaini wa ndoa.
 
Kwahy kinachofanywa kwenye tendo la ndoa, uzinzi na uasherati ni tofauti?
 
Hizi harakati za Wanaume kugombaniwa zinatokana na ugumu wa maisha au ni tamaa tuu za Wanawake?
Ugumu wa maisha ndiyo kitu kikubwa mkuu hata hao wasiozinzika Yani waliooana hawazinziki kwa sababu ya ugumu wa maisha na sisi tunaozinzika ni kwa sababu ya ugumu wa maisha Yani kiufupi ni ugumu wa maisha....oveeeeer
 
Sasa tutaishi vipi bila kuzichapa papuchi au tupige punyeto?
 
Ugumu wa maisha ndiyo kitu kikubwa mkuu hata hao wasiozinzika Yani waliooana hawazinziki kwa sababu ya ugumu wa maisha na sisi tunaozinzika ni kwa sababu ya ugumu wa maisha Yani kiufupi ni ugumu wa maisha....oveeeeer
Acha uongo, hata tajiri ukiona ameanza uzinzi ujue yupo mbioni kuanguka.
 
Ingependeza kama ungeanza na tafsiri ya uzinzi kuliko kuanza kutoa lawama, laana na vitisho ulivyokaririshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…