Uzinzi Unaua Akili Yako. Acha Uzinzi.

Ingependeza kama ungeanza na tafsiri ya uzinzi kuliko kuanza kutoa lawama, laana na vitisho ulivyokaririshwa.
 
Tofauti na ukimwi na magonjwa ya zinaa uzinzi hauna shida kabisa , tiba na kinga zikipatikana tutazichapa mpaka zifuke moshi

Acha uongo, hata tajiri ukiona ameanza uzinzi ujue yupo mbioni kuanguka.
Sio kweli mbona Mimi ni tajiri na sianguki miaka nenda rudi,,,alafu hao wanaoanguka ni wale wameujulia uzinzi ukubwani au uzeeeni lakini sisi wakongwe tunazinzika na vitoto vya 2000
 
Huwa nashangaa sana, Mtu anaogopa Uzinzi but anaipenda CCM, sasa si heri uwe mzinzi kuliko kuwa CCM
 
Sio kweli mbona Mimi ni tajiri na sianguki miaka nenda rudi,,,alafu hao wanaoanguka ni wale wameujulia uzinzi ukubwani au uzeeeni lakini sisi wakongwe tunazinzika na vitoto vya 2000
Ni process huwa inachukua muda.
 
Sasa akili yangu ikifa wewe unapata hasara gani?
 
NDo maana naonaga ni vyema kuugawa mwili katika Idara 5:
Iidara No 1. Kichwa(kuongeza ufahamu na maarifa Ili kuongoza vyema maisha yako)
Idara No 2. Moyo (ili kuishi kwa Amani na upendo)
Idara No 3. Vya vya uzazi (Kwa ajili ya Starehe na kuendeleza vizazi)
Idara No 4: Mikono kwa ajili ya kufanya shughuli za kimaendeleo na ustawi binafsi
Idara No 5: Miguu kwa ajili ya ulinzi na usafiri wa kwenda kutafuta rizki.

N:B IDARA ZOTE HIZI ZINATAKIWA KUPOKEA ORDER KUTOKA IDARA NO 1 YAANI KICHWA NA SI VINGNEVYO..
Mim yangu ni haya tu wakuu
 
Mzee, acha kukaza Kichwa, nipe tofauti ya tendo.
Tendo la ndoa mnajamiana vp hadi iwe tofauti na uzinifu
Mkuu nimejitahidi sana kukuelezea πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† halafu najua umeelewa sema umekaza,tofauti ni hiyo ndoa mkuu ukimmsaliti mwanandoa mwenzako ni uzinzi,ukifanya mapenzi bila ndoa ni uasherati mkuu
 
Mkuu nimejitahidi sana kukuelezea πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† halafu najua umeelewa sema umekaza,tofauti ni hiyo ndoa mkuu ukimmsaliti mwanandoa mwenzako ni uzinzi,ukifanya mapenzi bila ndoa ni uasherati mkuu
Hakuna utofauti hapo, hilo n tendo la aina moja kwa wote
 
Kule uzi wa pombe huku uzinzi mpaka tusalimu amri. Naomba pia uandike uzi wa kuwaonya CCM dhidi ukandamizaji wa haki za binadamu ili iwe fair and square
 
Dhambi kuu za Walokole ni uzinzi na pombe! Cha kushangaza wao kwa wao wanapigana mpaka wanafumaniana, kutiana mimba, nk. Ila ukienda Mkatoliki kuomba mzigo ndiyo unawekewa vikwazo.
Kuna mlokole mmoja wa kichaga ana trakoo hataree nimeomba mzigo, alikataa katakata eti anasema wanaume wa pwani wazee wenu washa wachagulia wachumba zenu.

Yeye nitamtumia tu na baadae kumkimbia nilisomesha kwa sana lakini hajakubali kunipa trakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…