Uzito huu ni sawa kwa mtoto mwenye umri huu?

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,024
Hellow
Mtoto wa mwaka1 ana kg14 na n mrefu kias kwamba wasiomfahamu wanadhani yupo zaid ya mwaka mmoja,je ni sahihi kuwa na hizi kg kwa umr alonao?
 
Depends na mtoto anavyokula kama ni mlaji siyo mbaya ni hakiyake
 
Wazazi wake wanaonekanaje?kama ni warefu/wanene inaweza kuwa sawa tu.
 
Inategemea alizaliwa na kilo ngapi?
Ana mwaka na miezi mingapi?
 
BMI ( body mass index ) BMI = weight (in kg) divided by
height (m) x height (m). Simple waweza caluculate mwenyewe NYUMBANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…