Awe anatembea. Amtafutie kitu cha kufanya weekend. Mfano wawe wanaenda kununua maziwa mbali kama km 2 hivi bila gari na kurudi kila jumamosi, kama ni wakristo waende kanisani mbali kidogo bila gari
Mavyepe ......junk foods ni source nzuri sana ya unene kwa watoto...
sidhani kwa mtoto wa bongo kama anaweza kupata hizo chipsi za kimarekani na kuwa mnene kupindukia. Chipsi za ngama hazikufuru kwa mtoto. Shida ya mitoto ya siku hizi anaamka asubuhi anaoga na kunywa chai, anabebwa na gari to and fro shuleni. Shuleni wala hachezi, anasoma. Hapati muda wa kuunguza msosi