Tumia health diet, kwanza acha kabisa vyakula vya sukari then punguza kabisa kula wanga fano wanga iee mlo mmoja tu wa mchana usioidi ngumi yako ya mkono, jioni kula mboga za majani tu , kila unaposikia njaa kula tunda kama chungw , parachichi, aple, usile ndizi ina sukari nyingi.