Uzito wa mzigo kwenye gari

Makobus

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
169
Reaction score
110
Jamani naomba msaada.

Eti ni kweli kwamba uzito wa gari ni sawa na uzito wa mzigo ambao inaweza kubeba? Mfano, gari tani moja inaweza kubeba mzigo wa tani moja pia? Gari tani tatu inaweza kubeba mzigo wa tani tatu? nk.

Karibuni kwa msaada.
 
Sio kweli .... mfano IST ina Tani 1.1 lakini inabeba mzigo wa KG 375 tu na hapo ni pamoja na abiria.
 
Angalia kwenye kadi ya gari,
Gross weight na Tare weight the difference ndiyo uwezo wa gari kubeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…