Habari wakuu, kwa anayejua gharama za ujenzi wa green house; hasa vifaa vyake kama poles na vyandarua naomba tujuzane!
Karibuni......,
Karibu sana
ujenzi wa green house hutegemea sana na eneo lako ili tuweze kukushauri ni vifaa gani unastahili kutumia kama net, polycover na vingine
mfano zipo insect net aina mbili Net 0.4 and Net 0.9
shade net zipo 55% , 65%, 75% na 90% zikiwa na rangi mbali mbali kama black, green, blue etc
zipo poly cover zenye 200 micron and 150 micron with three UV layer
zipo irrigation system (drip) zenye utoaji wa maji (flow rate 1.5, 2, 3 litres per hr ) na spacing 20cm, 30cm, 50cm etc
zipo pia dripline zenye wall thickness ya 0.2mm, 0.4mm 0.6mm etc
sasa eleze ya fuatayo ili usaidiwe
1. shamba lako liko wap
2. unatumia chanzo gani cha maji( tuweze kukuchagulia filter disc or screen )
3. unatengeza green house ya size gani
4. je ni mazao yapi ungependelea kulima sana kwa muda utakaokuwa unafanya shughuli zako
NOTE
Unaweza kuwekeza sana kwenye structure na miundombinu lakini kama management ya mradi wako itakuwa duni usitegemee kupata faida , ila green house inalipa sana mfano kwa morogoro sasa na mvua hizi tenga la nyanya ni katika ya 80k mpka 120k just imagine
karibu sana kwenye kilimo 0763347985, 0673000103