WAKU-GOOGLE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 950
- 628
Habari wakubwa.,
Ninahitaji kujua kuhusu incubator, efficiency yake katika utotoaji na aina zake kwa wafugaji wadogo dogo .
Incubator za mayai kuanzia 48 - 200 and above.
Kwa wale ambao wanazo majumbani mwao wakitoa aina ya incubator wanazotumia pamoja na uzoefu wazo, uzuri wake na madhaifu yake itakuwa vyema.
Please naomba michango yenu hasa wazoefu katika utumiaji wa incubator .
Karibuni wadau.