Kama ni shule binafsi naamini ipo siku watakuajiri kama mkienda sawa.
Na ipo hivo kwa sehemu nyingi za kujitolea kama ni binafsi.
Ila kama ni serikalini mwendo wa ajira ni ule ule na namna ya kuapply ni ile ile Hapo kwa serikali ni ngumu bora kuendelea na shughuli zako au kutengeneza cv ila sio kusubiri kuajiriwa kisa kujitolea hasa kwa serikalini.
Nashkuru sana mkuuKama ni shule binafsi naamini ipo siku watakuajiri kama mkienda sawa.
Na ipo hivo kwa sehemu nyingi za kujitolea kama ni binafsi.
Ila kama ni serikalini mwendo wa ajira ni ule ule na namna ya kuapply ni ile ile Hapo kwa serikali ni ngumu bora kuendelea na shughuli zako au kutengeneza cv ila sio kusubiri kuajiriwa kisa kujitolea hasa kwa serikalini.
⅞Kama nilivojuzwa na wafanyakazi pale kujitolea haiwi kwa muda mrefu sana mpaka ufundishe mwaka mzima. Ni mieze miwili au mitatu
Ni kweli, kuna mwalimu alikuwa anajitolea shule moja ya sekondari huku niliko, hata mwaka hajamaliza ameshaajiriwa. Tena nafasi nyingine hutoka moja kwa moja shuleni bila kutangazwa. Nimeshuhudia hii kwa kuwa rafiki yangu ni mkuu wa hiyo shule,Mimi ni mwalimu wa secondary najishughulisha na shughuli ndogo ndogo huku natafuta kazi. Katika mojawapo ya shule ninazoomba naambiwa kama kujitolea nafasi ipo. Sijawahi kujitolea tokea nimemaliza chuo(3years ago).
Naomba kufahamu kutoka kwenu wadau, kuna uwezekano wa kupata kazi husika kama mtu akijitolea? Naweza kusitisha vishughuli vyangu vidogo vidogo nijitoe lakini ningependa kupata uzoefu kutoka kwenu.
Natanguliza shukrani🙏🙏
Shukrani sana mkuu🙏🙏, ngoja nijitolee tu⅞
Ni kweli, kuna mwalimu alikuwa anajitolea shule moja ya sekondari huku niliko, hata mwaka hajamaliza ameshaajiriwa. Tena nafasi nyingine hutoka moja kwa moja shuleni bila kutangazwa. Nimeshuhudia hii kwa kuwa rafiki yangu ni mkuu wa hiyo shule,