Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tujalie wewe umemaliza chuo ukiwa na miaka 24 ukakaa mtaani mwaka mzimaNdugu hivi tangazo la kazi linapohitaji mtu mwenye uzoefu wa miaka kumi wanakuwa wanhitaji wazee au kuna vijana wenye uzoefu huo au ni mbinu zao watoto wa wakulima tusiombe!
Lawama tu. Ukweli kuna haja ya kwa baadhi ya nafasi kuweka uzoefu kwa kuwa huendi pale kujifunza kazi bali kufundisha wengine. Unapoona tangazo jaribu kuangalia wanataka applicant wa nafasi gani? Mfano wewe umehitimu leo Chuoni unataka kuomba nafasi ya Senior Human Resource Officer ambayo inahitaji uzoefu wa miaka 7. Au unaomba Principal Administrative Officer wakati nafasi husika inataka uwe na uzoefu wa miaka 12 kazini theni unalalamika. Hata hivyo sera ya ajira ni kwamba nafasi zote za kuingia (entry post/position) uzoefu sio kigezo mojawapoNdugu hivi tangazo la kazi linapohitaji mtu mwenye uzoefu wa miaka kumi wanakuwa wanhitaji wazee au kuna vijana wenye uzoefu huo au ni mbinu zao watoto wa wakulima tusiombe!