Uzoefu ukoje wa mitaa ya Malamba Mawili kwa anayeishi huko

Uzoefu ukoje wa mitaa ya Malamba Mawili kwa anayeishi huko

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
845
Reaction score
1,579
Wakuu msaada tutani. Kuna mwenye amewahi kuishi au anaishi huko malamba mawili anisaidie uzoefu pakoje kwa maana ya ni tambarare au miinuko, vp maji si tatizo? Na mengine yatayofaa
 
Wakuu msaada tutani. Kuna mwenye amewahi kuishi au anaishi huko malamba mawili anisaidie uzoefu pakoje kwa maana ya ni tambarare au miinuko, vp maji si tatizo? Na mengine yatayofaa

Kwa nini usifike mwenyewe kupatizama, utakuja hamia au nunua eneo lenye mkondo wa maji
 
Maana nimeonyeshwa nyumba kali sana..ila nikajiuliza mpaka sasa haijachukuliwa. Toka mwezi wa 3 mwanzon kabisa.Umbali naambiwa dk 10 mpaka lami. Sijafika bado nilikua ndo natazimia kufika

Fika ujiridhishe sababu Malamba Mawili kuna milima, mabonde, udongo mfinyanzi...
 
Wakuu msaada tutani. Kuna mwenye amewahi kuishi au anaishi huko malamba mawili anisaidie uzoefu pakoje kwa maana ya ni tambarare au miinuko, vp maji si tatizo? Na mengine yatayofaa
Malamba Mawili hapana Mkuu, waweza kuta nyumba unaiona hiyo hapo lkn huwezi ifikia kwa ajili ya uwepo wa Bonge ya korongo au gema. Kuna mabonde na Miinuko ya hatari karibu sana Mitaa ya Kwa Ndodi utatukuta wenyeji
 
MazurI
1. Maji yapo
2. Hali ya hewa poa
3. Huduma zipo karibu
4. Karibu na mbezi. ,,mabasi
5. Usafiri rahisi
6. Hakuna vibaka

Mabaya
1. Utelezi mvua ikinyesha
2. Milima na mabonde ya kutosha
3. Uswahili

Ushauri
Fika mwenyewe fanya maamuzi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] milima mikali sana lakini kuna majengo makali sana.
Kule huwezi kuishi kama ni mnyonge ujenzi wa mlimani si mchezo.
Duh wa Mwanza milimani wasemeji kama kirumba
 
Back
Top Bottom