Uzoefu, uongozi, jamii, serikali, UVCCM twende na Mwakibinga

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
UZOEFU ,UONGOZI,JAMII,
SERIKALI,UVCCM TWENDE NA MWAKIBINGA

2012-Waziri wa Michezo Chuo cha Uandishi wa Habari DSJ(DASJOSO)

2013-Mjumbe Uangalizi Uchaguzi Mkuu Nchini ZIMBABWE 🇿🇼 Kupitia SADC

2016-Mhariri Msaidizi Gazeti la JKT, Mwandishi wa Habari Makao Makuu JKT, Afisa Idara Matangazo Makao Makuu JKT.

2017-Balozi wa Vijana Usalama Barabarani Tanzania.

2018-Meneja wa Bendi ya UVCCM Taifa(VIJANA JAZZ BAND)

2019-Afisa Mtendaji Kata ya Lionja ,Halmashauri ya Manispaa ya Nachingwea.

2021/22-Balozi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais
IMG-20221114-WA0072(6).jpg
, Muunga na Mazingira.

2022-2027-Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Kawe.

TWENDE NA MWAKIBINGA UNEC-UVCCM 2022-2027

Ndugu Mjumbe Naomba KURA YAKO YA NDIYO
 
UZOEFU ,UONGOZI,JAMII,
SERIKALI,UVCCM TWENDE NA MWAKIBINGA

2012-Waziri wa Michezo Chuo cha Uandishi wa Habari DSJ(DASJOSO)

2013-Mjumbe Uangalizi Uchaguzi Mkuu Nchini ZIMBABWE [emoji1269] Kupitia SADC

2016-Mhariri Msaidizi Gazeti la JKT, Mwandishi wa Habari Makao Makuu JKT, Afisa Idara Matangazo Makao Makuu JKT.

2017-Balozi wa Vijana Usalama Barabarani Tanzania.

2018-Meneja wa Bendi ya UVCCM Taifa(VIJANA JAZZ BAND)

2019-Afisa Mtendaji Kata ya Lionja ,Halmashauri ya Manispaa ya Nachingwea.

2021/22-Balozi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa RaisView attachment 2416853, Muunga na Mazingira.

2022-2027-Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Kawe.

TWENDE NA MWAKIBINGA UNEC-UVCCM 2022-2027

Ndugu Mjumbe Naomba KURA YAKO YA NDIYO
WAPIGA DEBE WA MAGUFULI SASA WAMEHAMIA KWA MAMA
 
Kwani UVCCM mwisho miaka mingapi? Huyu mtu nimemsikia kwa miaka mingi sana... halafu inaonekana kama vile wenzake hawamtaki kwasababu ni muda sasa amekua akipigania nafasi mbalimbali bila mafanikio. Nadhani UVCCM iweke sura mpya. Huyu Mwakibinga aje agombee jumuiya ya wazazi 2026
 
UZOEFU ,UONGOZI,JAMII,
SERIKALI,UVCCM TWENDE NA MWAKIBINGA

2012-Waziri wa Michezo Chuo cha Uandishi wa Habari DSJ(DASJOSO)

2013-Mjumbe Uangalizi Uchaguzi Mkuu Nchini ZIMBABWE 🇿🇼 Kupitia SADC

2016-Mhariri Msaidizi Gazeti la JKT, Mwandishi wa Habari Makao Makuu JKT, Afisa Idara Matangazo Makao Makuu JKT.

2017-Balozi wa Vijana Usalama Barabarani Tanzania.

2018-Meneja wa Bendi ya UVCCM Taifa(VIJANA JAZZ BAND)

2019-Afisa Mtendaji Kata ya Lionja ,Halmashauri ya Manispaa ya Nachingwea.

2021/22-Balozi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa RaisView attachment 2416853, Muunga na Mazingira.

2022-2027-Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Kawe.

TWENDE NA MWAKIBINGA UNEC-UVCCM 2022-2027

Ndugu Mjumbe Naomba KURA YAKO YA NDIYO
Wajumbe siyo watu!
 
Back
Top Bottom