Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Enhe challenge za hio bussinessWazo zuri,anza mapema but huwa ni 40000 per week alwayz lakin ukipata kijana mwaminifu unaweza pewa hata hiyo 50000 kwa wiki cha msingi jikaze udhibit matumizi ili upate hicho ulichokipanga
Challenge ni dereva kutoleta rejesho kwa wakati,enhe challenge za hio bussiness
Aisee bravo...Sana mkuu watu Kama nyie dunia nzima Ni wachacheChalange ni dereva kutoleta rejesho kwa wakati,
Pili ajali
Tatu unakuta service zinakuandama kwa hata wiki tatu mfululizo na bumu limekata
NB,pikipiki hazina changamoto kubwa ya kiutaalam hivyo utafaidi
Nyongeza Mimi najilipia ada 1.5M inayochangiwa na pikipik kwa 70% ila unatakiwa uwe na roho ya kutotamani hela
Naomba elimu kidogo, pikipiki umenunua mil 1.6 au mil 2 , kilasiku hesabu 8000 Siku 320 in mil 2.5. Na umempa MTU mkataba wa mwaka ,so faida ni laki 9?mbona naona ndogo? Mil 2 Kwa mwaka inaweza lets mil 5 Kwa mwaka biashara ingine .naomba elimuChalange ni dereva kutoleta rejesho kwa wakati,
Pili ajali
Tatu unakuta service zinakuandama kwa hata wiki tatu mfululizo na bumu limekata
NB,pikipiki hazina changamoto kubwa ya kiutaalam hivyo utafaidi
Nyongeza Mimi najilipia ada 1.5M inayochangiwa na pikipik kwa 70% ila unatakiwa uwe na roho ya kutotamani hela
Ni kweli lakini uzuri wake kila wiki unapata chako so huwezi compare na zingine .Naomba elimu kidogo, pikipiki umenunua mil 1.6 au mil 2 , kilasiku hesabu 8000 Siku 320 in mil 2.5. Na umempa MTU mkataba wa mwaka ,so faida ni laki 9?mbona naona ndogo? Mil 2 Kwa mwaka inaweza lets mil 5 Kwa mwaka biashara ingine .naomba elimu