Jumanne Mwita JF-Expert Member Joined Nov 18, 2014 Posts 530 Reaction score 1,446 Jan 27, 2024 #1 Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika. Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika. Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Jan 27, 2024 #2 Jumanne Mwita said: Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon Click to expand... Nina uzoefu wa kutosha, 1. Ili kujifunza ingia hapa | Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) Kwenye hiyo thread utajifunza nini cha kufanya. 2. Iwapo utahitaji ufanyiwe kila kitu hadi delivery mahala ulipo basi ingia hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Karibu
Jumanne Mwita said: Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon Click to expand... Nina uzoefu wa kutosha, 1. Ili kujifunza ingia hapa | Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) Kwenye hiyo thread utajifunza nini cha kufanya. 2. Iwapo utahitaji ufanyiwe kila kitu hadi delivery mahala ulipo basi ingia hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Karibu