Uzoefu wangu kwa wachangia mada JF

Tupia picha
 
hii mepanda pointi namba 6
 

Ule uzi wako wa makapuku vipi?
 
Ukiona hupewi likes au wakongwe/maarufu wanakupiga gap jiunge Makapuku Forum, kule ni jukwaa la wanyonge.

Check na Bailly5 au Bitoz kwa usajili.
 
nimegundua kua humu hakuna ADD ME CLOSE
 
Siyo kweli. Umaarufu ampelekee mama yake. Hapa akileta ubishoo wa kuvaa nyanyapuza anakula makwenzi ya utosini mpaka aimbe hallelujah!
 
Hao ndo wanaifanya jf kuitwa jf
Kwenye jamii kuna kila aina ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…