sio hivyo mkuu, mi naona ni muda tu wa kuperuzi jf haupo so mtu unaamua kupita tu na kusoma vilivyo muhimu, japo na popular threads za siku hizi ni mijadala isiyo na faida, ni kama kupoteza muda tu, imekaa kitoto toto sana, watu wanajaribu ku cope na hizi changes but bado inawawia vigumu.Inasemekana nyie ni jiniaz, mana hamjaona ps kukoment, et mnafikiliaga mbali mno,
Nakuona IQ.[emoji16]
hahaaahahha, PROF NDUMILAKUWILIKuna yule anaandikaga "OHOOOOO"
Mkuu ulishawai kutoa nyuzi?[emoji16]
DUH sijamnyaka huyuhahaaahahha, PROF NDUMILAKUWILI
Yani yani yani kuna jibu moja alitoa kiumbe mmoja,, yani jibu la kunya hatariiii jibu la hovyooooo afu alitoa mwanaume sasa alikula likes balaa kwa zile pumb make sio pumba tu.. Mpaka Leo huwa nalikumbuka ile comment nikilinganisha na likes Nacheka kwa dhaaaaraauKauzoefu kangu kanaonyesha wakongwe/maarufu hata waanzishe thread au kuchangia pumba husifiwa tu na km ni kukosolewa basi ukosolewa kwa heshima
Sasa wewe ambaye siyo maarufu andika thread ya maana husifiwi kivile na km umeandika pumba tegemea kutukanwa kila sina ya tusi
Utasikia Rudi Facebook
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani yani yani kuna jibu moja alitoa kiumbe mmoja,, yani jibu la kunya hatariiii jibu la hovyooooo afu alitoa mwanaume sasa alikula likes balaa kwa zile pumb make sio pumba tu.. Mpaka Leo huwa nalikumbuka ile comment nikilinganisha na likes Nacheka kwa dhaaaaraau
Humu kitu afanye A sio Bee
Humu kiki atafute C sio D
Humu kitu aseme kiazi sio muhogo
Humu ni pa kwenda napo kibabe babe ivoivo.... Lasivo hunijui sikujui so pita kuleeeeeeee [emoji117] [emoji117]
Cc Smart911
That's the spirt... Watu wengine humu wanajifanya wajuaji sana... wanajifanya kukerewa na vitu ambavyo hata haviwahusu... jambo au mambo wafanye wao... wakifanya wengine ni laana...