Watu wanafurahia kupendwa na wanapenda,lakini wapo wanaopendwa na vichwa vinakuwa vikubwa na kujisifia kuwa wanapendwa na kujisahau kabisa kuwa nao wanahitaji kurudisha upendo,uhusiano wa aina hii lazima utakufa tu,hivyo ni vizuri unapopendwa nawe ukarudisha upendo ili mfurahie mahusiano yenu,lakini pia unapokuwa kwenye mahusiano usikae kikondoo ukadhani kuwa huyo hawezi kubadilika,huyo sio malaika.Fikiria na upande mwingine wa shilingi,unaweza ukaachwa hata kama wewe ni mzuri,handsome,una hela,ni mtaalam kitandani n.k.Epuka kuja kuwa kichwa cha habari cha vyombo vya habari kwa kufanya mambo ya ajabu baada ya kuachwa!
Ila sio kama za magamba!
Penda ili upendwe!
Jali ili ujaliwe!
Thamini ili uthaminiwe!
Amini ili uaminiwe!
Jitunze ili utunzwe!
Jiheshimu ili uheshimiwe!
Timiza wajibu ili ukiwa disappointed ujiridhishe kuwa he/she did not deserve you; hivyo hutajilaumu kuwa labda sikufanya hiki au labda ningefanya hiki things wouldave been different!
zidumu fikra za mwenyekiti'
Mwe wasyove nigagwa!
Nnmh kaka; umepata kitu hapo l presume! LOL
Was just wondering ilumbuye
Kaunga na KIKUNGU mnazungumza lugha gani?Ikuyuye Wigwa!!Mh!
Lakini hujatoa mtazamo wako; ikuluye! Wigwa yes, lkn what do u think? Tuache kupenda kwakuwa tutaumizwa? Kila mtu akimtegea mwenzake kuna mapenzi tena?
Do your part n God will do the rest!
You are right my sister,ukipenda utoe moyo wako wote na wala sio nusu,ukiumizwa piga magoti mwambie mungu mbona unaniacha mungu wangu,mungu ni mwema sana atakupa mwingine mwenye kufanana na wewe.
Mh!Mi najua ukisema uliigwa ndo unamaanisha umesikia,au kuna tofauti kati ya kisukuma na kinyamwezi?