Uzoefu wangu,Penda,na unapopendwa pendeka ila kuwa tayari kuumizwa!!!!

Mi sijawahi kupenda. . .siku nikipenda NTACHANGIA vizuri.
 
Dah! Mi Sina imani na binadamu - hasa wanaume. Nitapenda kwa tahadhari sana. (siwezi kujiachia wala kujigamba).
 
Kama unajua ukipenda utaumia kwa nini upende wakati SODA ZA KOPO zipo? Na nani alikuambia mwenye hela huwa anaachwa? Na ukiwa na pesa unaweza ukasahau hata kutongoza jinsi utakavyokuwa unatongozwa na ma-she. Ukinipenda kivyako, sirudishi upendo, nakunywa natupa. Yaani kama treni, nagonga waliokuwa kwenye reli tu. Mpenzi wa kweli ni MONEY tu, wengine wazushi.
 
Mi sijawahi kupenda. . .siku nikipenda NTACHANGIA vizuri.

big up sana! Inaonekana unaakili sana. Wanaopenda ni wale up stairs kuna matatizo na kipato kinasumbua. Wanakimbilia kwenye mapenzi kutafuta faraja, hata hivyo hawaipati.
 
unacheza na mapenzi wewe,hujapenda bado.subiria siku yako ukamatwe.
 
unacheza na mapenzi wewe,hujapenda bado.subiria siku yako ukamatwe.

mbona nimekwisha kamatwa na MONEY? huyu ndiye mpenzi wangu na yeyote atakayetaka kunitenganisha nae lazima pachimbike.
 
big up sana! Inaonekana unaakili sana. Wanaopenda ni wale up stairs kuna matatizo na kipato kinasumbua. Wanakimbilia kwenye mapenzi kutafuta faraja, hata hivyo hawaipati.

money is not everything!
 
money is not everything!

yes money is not everything, but love is the source of life destruction. Angalia mapenzi na pesa, ni kipi kimeharibu/kimerekebisha maisha ya watu? Au wewe ni mmoja wa walengwa wa up stairs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…