Uzunguni meat carnival Arusha

Samwel Ngulinzira

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,829
Reaction score
1,972
Habari zenu wakuu,
Kama kichwa cha habari hili ndo chimbo linalosumbua mjini kwa wastaarabu.
Wafanyakazi wa hapa wanavaa kwa heshima na ni wachangamfu.
Pametulia hakuna makelele sana.
Kuna nyama, vinywaji na mitungi aina zote kuanzia wine za kawaida, za kupima bila kusahau spirit.
Mi hua natumia wine ya kupima.
Karibuni
Location ipo kituo cha Bia au Breweries kama unaelekea Njiro.
 
Kuna huduma moja muhimu hujaitaja, kwa hyo sina hata haja ya kuuliza ni maeneo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…