kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Leo Simba wameonesha kuwa wao ni mabingwa. Kulikuwa na maneno mengi hasa hawa Yanga.
Timu imewekeza vizuri, wachezaji wanacheza mpira unaeleweka halafu anakuja mtu mmoja anaanza kulia lia ooh wanashinda kwa makando kando. Sasa leo mmeona wenyewe. Uzuri mpira hauchezwi chumbani.
Leo mmeliwa na kachumbari na pili pili.
Poleni sana sana watani. Mnyama apewe heshima yake tu.