Kig JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 1,076 Reaction score 458 Aug 13, 2012 #1 Wadau naomba mnijuze uzuri na ubaya wa gari aina Toyota Vitz. vigezo muhimu vikiwa, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na gharama za spea, ugumu wa body yake, matatizo ya kiufundi nk mengine mengi
Wadau naomba mnijuze uzuri na ubaya wa gari aina Toyota Vitz. vigezo muhimu vikiwa, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na gharama za spea, ugumu wa body yake, matatizo ya kiufundi nk mengine mengi