Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

deecarter

Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
23
Reaction score
64
Sikuwahi kufahamu kuwa Nairobi ni jiji kubwa kiasi hiko nilijua kuwa Nairobi ni kamji kadogo tu ambako majengo marefu yamerundikana kumbe Nairobi inaweza kulingana na Kariakoo au zipishane kidogo kwa ukubwa wa eneo lililojengeka dah hongera sana wakenya kwa hili.
 
yaani Nairobi ni kutoka mnazi mmoja mpaka Gerezani
 
Sasa mtu anaanzisha uzi bila maelezo kamili utadhani yupo mawindoni, ndani kabisa porini. Anamaanisha Nairobi CBD, Nairobi County ama jiji lenyewe kwa ujumla? Jiji la Nairobi sasa hivi ni Metropolis. Nairobi Metropolis imekua hadi ikavuka mipaka ya hapo awali, ya gatuzi la Nairobi, yaani ule mkoa wa zamani. Nairobi Metropolis ni 32,000 square kilometres.
 
Hivi nyie wakenya vichwa vyenu viko sawa!? Hivi unaelewa hata maana ya 32,000 square kilometres!? Unaweza kuleta reference ya hiki ulichoandika!? Unajua 32,000 square km ni zaidi ta nchi ya Rwanda, ni zaidi Belgium.

Tukisema nyie wakenya ni wajinga msilie lie
 
Kabla ya kuanza ubishi wa kipuuzi ungejielimisha kuhusu Metropolis, metropolitan na vitu kama hivyo. Sina la ziada.
 
Anaongelea sq km buda, ya kwako ume exaggerate
Huyu jamaa sijui anasoma alichoandika. Total area ya kenya yote ni 580,367
Halafu anatuambia Nairobi ni 32,000.
Ukipiga hesabu maana yake ni
32,000/580367x100 unapata 5.5%.
Inamaana Nairobi ni 5.5% ya total area ya nchi ya kenya.

Huu upuuzi hatuwezi kuuvumilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…