Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mungu wangu. Basi tuletee source ya hixi taarifa zako.Sio typo, size kamili ya Nairobi Metro ni 32,715 sq kms. Kuna mtu ameweka 'breakdown' ya sekta zote tano za Nairobi metro. Core Metro, Northern, North Eastern, Southern na Eastern Metro.
Ni common knowledge, kwa watu ambao wanapenda kusoma na kujua mengi. Ndio hii link ya info na takwimu zote kuhusu Nairobi Metropolis.Mungu wangu. Basi tuletee source ya hixi taarifa zako.
Wakenya bhana.Ni common knowledge, kwa watu ambao wanapenda kusoma na kujua mengi. Ndio hii link ya info na takwimu zote kuhusu Nairobi Metropolis.
Nairobi hamna hakujae, huko ushago kwenu ndiyo una umaarufu kidogo kwakua ulikua unachunga ng'ombe wa kijiji vizuri.Hapana, wa Nairobi Metropolis. [emoji1]
Kabla ya kuanza ubishi wa kipuuzi ungejielimisha kuhusu Metropolis, metropolitan na vitu kama hivyo. Sina la ziada.
Nadhani alimaanisha 3,200 sq. km. Shida ya wabongo kosa la typing error mtaligeuza kuwa ndicho kinachojadiliwa.
Nimekuuliza hiyo Nairobi Metro ni administrative region au kitu kani!? Give me an official source from the government of Kenya inayosema kuna kitu kinaitwa Nairobi Metro.Nairobi hamna hakujae, huko ushago kwenu ndiyo una umaarufu kidogo kwakua ulikua unachunga ng'ombe wa kijiji vizuri.
Mimi kama mkenya nasema hamna kitu kama Nairobi metropolitan. [emoji3]Nimekuuliza hiyo Nairobi Metro ni administrative region au kitu kani!? Give me an official source from the government of Kenya inayosema kuna kitu kinaitwa Nairobi Metro.
Ni sawa na sisi tunaweza kusema EAST COAST which includes, Dar es salaaam, pwani and Morogoro.
Umeitisha link nikakupa, umeifungua ukashindwa kusoma au? Ulianza kwa kubisha kwamba Nairobi Metropolitan sio 32,000 sq km, naona sasa umetulia. Majibu ya hayo maswali yako yote yapo hapo kwenye taarifa hiyo.Wakenya bhana.
Kwahiyo hiyo ni political region, Government region au nini!?
Maana naonakuna
Machakosi, Kiambu, Kajiando na Murang'a.
Je, administrative area ya Kenya imebadilika siku hizi!? Mmeachana na counties!?
Boss tafuta ramani ya Kenya acha ubabaishaji mwingi. Gatuzi la Kajiado linapakana na gatuzi la Nairobi. 20 mins drive. Alafu sijui unadhani Kajiado ni kama kule kwenu Mkuranga, tembea ujue mengi.Nairobi hamna hakujae, huko ushago kwenu ndiyo una umaarufu kidogo kwakua ulikua unachunga ng'ombe wa kijiji vizuri.
Acha ujinga wewe. Hata sisi tunaweza sema EAST COST more than 80,000sqr km.Umeitisha link nikakupa, umeifungua ukashindwa kusoma au? Ulianza kwa kubisha kwamba Nairobi Metropolitan sio 32,000 sq km, naona sasa umetulia. Majibu ya hayo maswali yako yote yapo hapo kwenye taarifa hiyo.
Wewe jamaa kichwa chako hakiko sawa.Boss tafuta ramani ya Kenya acha ubabaishaji mwingi. Gatuzi la Kajiado linapakana na gatuzi la Nairobi. 20 mins drive. Alafu sijui unadhani Kajiado ni kama kule kwenu Mkuranga, tembea ujue mengi.
Bora utulie tu maanake ujuaji wako wa peni mbili umefikia kikomo.Acha ujinga wewe. Hata sisi tunaweza sema EAST COST more than 80,000sqr km.
There is no Nairobi Metropolitan in Kenya administration. Hizo taarifa ni za kuunga unga that why there is no official document from the government inayoongelea Nairobi Metropolitan.
Ficha upumbavu wako hapa.
This is an official document from your government!?
If you don't know what a metropolis is then you do not deserve to discuss anything about cities.Nimekuuliza hiyo Nairobi Metro ni administrative region au kitu kani!? Give me an official source from the government of Kenya inayosema kuna kitu kinaitwa Nairobi Metro.
Ni sawa na sisi tunaweza kusema EAST COAST which includes, Dar es salaaam, pwani and Morogoro.
Unachosha sana wewe jamaa, tangu lini gatuzi moja likawa ndani ya gatuzi lingine? Unajua maana ya county? Nairobi Metropolis imeingia hadi sehemu zingine za gatuzi nne za Kajiado, Machakos, Kiambu na Murang'a. We vipi unataka nikochoree kibonzo ndio uelewe?Wewe jamaa kichwa chako hakiko sawa.
How comes Nairobi(Kajiado) to be bordered by itself (Nairobi)?
View attachment 1204640
Nimekuwa nikifuatilia huu uzi and I have realised one thing, hujui maana ya metro. Let me educate a bit, Nairobi metro is something which was created when Nairobi started to expand past it's boders. Do you know that some parts of JKIA is in Machakos county? Do you know that the people of Kitengela and Rongai are in Kajiado county? but if you ask them where they are coming from watakuambia wanatoka Nairobi. Do you know that Githurai and Ruaraka is in Kiambu county? If you ask msee wa Githurai penye anatoka atakuambia Nairobi. Do you know that there are buses in Nairobi known as Metro buses plying the routes of Nairobi metro?This is an official document from your government!?
Ondoa upumbavu wako hapa. Fool Kenyan.
Unachosha sana wewe jamaa, tangu lini gatuzi moja likawa ndani ya gatuzi lingine? Unajua maana ya county? Nairobi Metropolis imeingia hadi sehemu zingine za gatuzi nne za Kajiado, Machakos, Kiambu na Murang'a. We vipi unataka nikochoree kibonzo ndio uelewe?
Are you stupid, hivi miaka hii ndio ulete ujinga kama huu tukae kimya na kujificha kwenye kichaka cha kuwa hujui city!?If you don't know what a metropolis is then you do not deserve to discuss anything about cities.
Wewe maharage acha kutuletea taarifa ambazo hazipo. Nimekuambia ulete official documents unapiga domo tu.Unachosha sana wewe jamaa, tangu lini gatuzi moja likawa ndani ya gatuzi lingine? Unajua maana ya county? Nairobi Metropolis imeingia hadi sehemu zingine za gatuzi nne za Kajiado, Machakos, Kiambu na Murang'a. We vipi unataka nikochoree kibonzo ndio uelewe?