J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 30, 2024 #1 Ukisikiliza wanavyochambua Magazeti na kuwaponda Watumbuliwa wa hivi karibuni huwezi amini kama Nape alikuwa Boss Wao juzikati tu na walimtukuza sana Ni vema hawa Watangazaji wa Kuigiza wakaweka Akiba ya Maneno Ni hilo tu Ahsanteni Sana π
Ukisikiliza wanavyochambua Magazeti na kuwaponda Watumbuliwa wa hivi karibuni huwezi amini kama Nape alikuwa Boss Wao juzikati tu na walimtukuza sana Ni vema hawa Watangazaji wa Kuigiza wakaweka Akiba ya Maneno Ni hilo tu Ahsanteni Sana π
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 30, 2024 #2 Mnafiki ishi naye kinafiki. Ndicho walichokifanya
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jul 30, 2024 #3 Upande wenye siagi ndio unaoliwa
Ben-adam JF-Expert Member Joined Jun 2, 2023 Posts 1,043 Reaction score 2,309 Jul 30, 2024 #4 Wengi wa wabongo tuko hivyo, angalia hata kwa wachezaji
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 30, 2024 #5 This is nature of (Black people)
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Jul 30, 2024 #6 Ben-adam said: Wengi wa wabongo tuko hivyo, angalia hata kwa wachezaji Click to expand... Mara yule mzee..!!! Mara majini..!!
Ben-adam said: Wengi wa wabongo tuko hivyo, angalia hata kwa wachezaji Click to expand... Mara yule mzee..!!! Mara majini..!!
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jul 30, 2024 #7 johnthebaptist said: Ukisikiliza wanavyochambua Magazeti na kuwaponda Watumbuliwa wa hivi karibuni huwezi amini kama Nape alikuwa Boss Wao juzikati tu na walimtukuza sana Ni vema hawa Watangazaji wa Kuigiza wakaweka Akiba ya Maneno Ni hilo tu Ahsanteni Sana π Click to expand... Hao machawa wanafki tu wanakwenda na upepo Hawana lolote chawa anakusifia pale unapokuwa na nafasi Ova
johnthebaptist said: Ukisikiliza wanavyochambua Magazeti na kuwaponda Watumbuliwa wa hivi karibuni huwezi amini kama Nape alikuwa Boss Wao juzikati tu na walimtukuza sana Ni vema hawa Watangazaji wa Kuigiza wakaweka Akiba ya Maneno Ni hilo tu Ahsanteni Sana π Click to expand... Hao machawa wanafki tu wanakwenda na upepo Hawana lolote chawa anakusifia pale unapokuwa na nafasi Ova
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Jul 30, 2024 #8 Ila Kitenge jamaa mnafki yule kama hana Phd basi ni daktari wa unafki yule jamaa
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Jul 30, 2024 #9 Maisha bila unafiki hayaendi.....hii kauli naielewa sana hasa kwenye kusaka maokoto