Uzuri wa makazi yako, ni matokeo ya ukijani uliozunguka makazi yako

Pedeshee212

Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
30
Reaction score
48
Watu wengi kulalamika na kufikia hatua ya kuchukia makazi Yao wakidai,

1. Mbona nyumba yangu sio nzuri Sana?
2. Mbona nyumba Ina joto kubwa Sana?
3. Mbona hewa inayopatikana ni kama Ina vumbi au sio nzuri kama ya kwa fulani?
4. Mbona nakosa hata sehemu ya kupumzikia nje walau nipunge upepo?

MASWALI YOTEEE majibu yake ni kwamba, ulipenda kile ulichoona unakipenda ndo maana unateseka kupenda cha wengine. NIKUSHAURI, Tumia eneo dogo kwa ajili ya paving stone, na eneo kubwa, weka GARDEN.

GARDEN Ndio suruhisho La maswali yako yote. Natamani nikuelezee kwa hisia kali ili ujue utamu wa kuwa na garden nyumbani kwako. Ila ukinipigia, nitakuelezea: 0714693107
images%20-%202024-02-13T095601.101.jpg
View attachment 3196359View attachment 3196357View attachment 3196358View attachment 3196356
 
Watu wengi kulalamika na kufikia hatua ya kuchukia makazi Yao wakidai,
1. Mbona nyumba yangu sio nzuri Sana?
2. Mbona nyumba Ina joto kubwa Sana?
3. Mbona hewa inayopatikana ni kama Ina vumbi au sio nzuri kama ya kwa fulani?
4. Mbona nakosa hata sehemu ya kupumzikia nje walau nipunge upepo?

MASWALI YOTEEE majibu yake ni kwamba, ulipenda kile ulichoona unakipenda ndo maana unateseka kupenda cha wengine. NIKUSHAURI, Tumia eneo dogo kwa ajili ya paving stone, na eneo kubwa, weka GARDEN. GARDEN Ndio suruhisho La maswali yako yote. Natamani nikuelezee kwa hisia kali ili ujue utamu wa kuwa na garden nyumbani kwako. Ila ukinipigia, nitakuelezea: 0714693107 View attachment 3196360View attachment 3196359View attachment 3196357View attachment 3196358View attachment 3196356
Dah! Pazr ila syo uwe unaish mazese au chilangai dodoma
 
Watu wengi kulalamika na kufikia hatua ya kuchukia makazi Yao wakidai,

1. Mbona nyumba yangu sio nzuri Sana?
2. Mbona nyumba Ina joto kubwa Sana?
3. Mbona hewa inayopatikana ni kama Ina vumbi au sio nzuri kama ya kwa fulani?
4. Mbona nakosa hata sehemu ya kupumzikia nje walau nipunge upepo?

MASWALI YOTEEE majibu yake ni kwamba, ulipenda kile ulichoona unakipenda ndo maana unateseka kupenda cha wengine. NIKUSHAURI, Tumia eneo dogo kwa ajili ya paving stone, na eneo kubwa, weka GARDEN.

GARDEN Ndio suruhisho La maswali yako yote. Natamani nikuelezee kwa hisia kali ili ujue utamu wa kuwa na garden nyumbani kwako. Ila ukinipigia, nitakuelezea: 0714693107 View attachment 3196360View attachment 3196359View attachment 3196357View attachment 3196358View attachment 3196356
Hilo eneo uwe mdosi. Kajamba Nani hawezi
 
Kwa msaada ya kuandaa ramani design za mandhari za nje,
Tumebobea
+255-657-685-268

Hizi chini ni sample design project za huko Kondoa na Bukoba vijijini
...
Tunaandaa design iwe kulingana na mazingira ya nyumba yako yanayoizinguka ... Haijalishi umeshajenga au bado
- mwishoni utapata design yenye picha mazingira yatakavyokuwa na michoro ya kufanyia kazi

+255-657-685-268
Call/WhatsApp

Baada ya kupata design then steji inayofuata ni kupata fundi mtaalamu kuichukua design iwe uhalisia
IMG-20230711-WA0042.jpg
IMG-20230711-WA0042.jpg
IMG-20230711-WA0037.jpg
IMG-20230711-WA0038.jpg
IMG-20230711-WA0033.jpg
IMG-20220928-WA0063.jpg
IMG-20220928-WA0055.jpg
IMG-20220928-WA0052.jpg
IMG-20220928-WA0051.jpg
IMG-20220928-WA0048.jpg
IMG-20220928-WA0047.jpg
IMG-20220928-WA0041.jpg
IMG-20220928-WA0040.jpg
IMG-20220928-WA0039.jpg
IMG-20220928-WA0043.jpg
 
Watu wengi kulalamika na kufikia hatua ya kuchukia makazi Yao wakidai,

1. Mbona nyumba yangu sio nzuri Sana?
2. Mbona nyumba Ina joto kubwa Sana?
3. Mbona hewa inayopatikana ni kama Ina vumbi au sio nzuri kama ya kwa fulani?
4. Mbona nakosa hata sehemu ya kupumzikia nje walau nipunge upepo?

MASWALI YOTEEE majibu yake ni kwamba, ulipenda kile ulichoona unakipenda ndo maana unateseka kupenda cha wengine. NIKUSHAURI, Tumia eneo dogo kwa ajili ya paving stone, na eneo kubwa, weka GARDEN.

GARDEN Ndio suruhisho La maswali yako yote. Natamani nikuelezee kwa hisia kali ili ujue utamu wa kuwa na garden nyumbani kwako. Ila ukinipigia, nitakuelezea: 0714693107 View attachment 3196360View attachment 3196359View attachment 3196357View attachment 3196358View attachment 3196356
Nyasi ga i n,uri za kupanda amba,o hazihitaji kumwagikia maji mengi
 
picha nzuri ila napendekeza iwepo pia miti ya matunda
Utakuta mtu yupo eneo lenye Mvua lakini amejaza mamiti yale yako kama minazi kwa nini usioteshe nazi? na matunda mengine kama machungwa, pera, embe, mastafeli nk nk kulingana na eneo. namaanisha changanya na miti ya matunda na kama eneo ni dogo badala ya kujaza maua, changanya na mboga mboga... utanishukuru baadae!
 
picha nzuri ila napendekeza iwepo pia miti ya matunda
Utakuta mtu yupo eneo lenye Mvua lakini amejaza mamiti yake yako kama minazi kwa nini usioteshe nazi? na matunda mengine kama machungwa, pera, embe, mastafeli nk nk kulingana na eneo. namaanisha changanya na miti ya matundabna kama eneo ni dogo badala ya kujaza maua, changanya na mboga mboga... utanishukuru baadae!
Ni kweli unachosema, hayo ni matumizi bora ya eneo lako kwa afya yako. Sema changamoto tunayokumbana nayo ni mapendekezo ya maboss wetu huwa wanachotaka tunawapa asilimia 60% zetu 40% baada ya kuwashauri.
 
Back
Top Bottom