Uzuri wa mwanamke ni muonekano wake

Uzuri wa mwanamke ni muonekano wake

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Uzuri wa mwanamke ni muonekano wake[emoji817]

Kama uzuri wa mwanamke ungekuwa maumbile yake ya ndani basi wanaume wangeridhika na mwanamke mmoja kwa sababu moja tu :- [emoji830] mwanaume hafiki kileleni kwa ubora wa maumbile ila kwa hisia zake.

Hapo ndipo maana ya upendo wa mwanaume hutoweka maana yeye hajui kutofautisha uzuri wa mwanamke na utamu wa mwanamke kwa hakika kwa mwanaume kila mwanamke ni mtamu maana hakuna mwanaume alishindwa kufika kileleni kwa maumbile mabaya [emoji23][emoji23][emoji23] maana yeye huendeshwa na hisia zake wakati mwanamke ambaye yeye ili aweze kufurahia mapenzi ni pale nafsi yake inapokuwa na utulivu maana yake yeye hufuata moyo [emoji178] wake [emoji23] [emoji23]

Ukiona mwanaume ametulia na mwanamke mmoja ujue kampendea muonekano wake [emoji817]. Mambo ya maumbile [emoji105] pamoja na mauno [emoji126] kama yangemtuliza mwanaume basi kuna wanawake wangekuwa na hakika ya kutosalitiwa ila kwa sasa omba mungu umpate mwanaume atakayevutiwa na jinsi ulivyo kuliko kama atakupenda kwa yaliyoko sirini hawakawiii wanaume.
 
na sisi hatuangalii saiz ya dyudyu ni size ya wallet

haya mapenzi ni ukichaa sana
 
Hivi kwa mwanamke utamu ni nini? k kubana kama mfuniko wa spido, viuno vya kimakonde? kujua kulilia dudu la yuyu, k kupiga makofi au iz ze kombineshen?!!
 
Back
Top Bottom