Uzuri wa nabii yusuf (as) ndio wanawake wajikate vidole

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
146
Nadhani hadithi za mitume na manabii zimeongezwa chumvi lengo kuvutia wasomaji tu lakini hakuna uhalisia.

Yani kwamba umuone mwanamke mzuri au mwanaume handsome mbaka ujikate vidole kwa mshangao hizo ni fix
 
Inawezkn kama wanawake walikuwa wako jikon Yusuf akapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…