Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
afu siku hizi mbona wanakuwa na rangi ya pink na mautango tango usoni? yaani kama wana mba kwenye ngozi vile......wanakuwa wachafu hutaki hata kumwangalia mara mbili.....usiombe jua liwake wanakoma, afu wanaota ndevu, n akusweat bila mpango hadi kwenye kope za macho.....
tabu yote ya nini????????????????????????
mimi mwanamke wa kujichuwa ngozi yake cjawahi kumwona msafi kamwe, ninavyomuona usoni alivyo na rangi mbili ukute na joto/jua kali, khaaa....dearest leo unanitolea vibomuuu.
aha ok mie nilisoma ile post ya kwanza tuu nikaona hakuna tabu kujicream lolllllllllllNoname hapa wanazungumzia ile mtu kujichua na ngozi yako kabisa, ile mkorogo umewekwa mafuta ya transfoma na jik cjui na nini na nini khaa.
Ila apo umetudanganya lolllllllllll hiyo siagi ya ng'ombe wont work on all skin types...Dada zetu wa kimaasai wanaujua ukweli kuhusu being natural, wanapakaa only siagi ya ng'ombe....huo ndio mtoko wao na wanapendeza sana, subiri dada zetu wa hapa mjini kama hawajarudi kuiga kutoka kwa wamasai kama wanavyonyoa upara sasa....U see them r lokin bitiful!
Ila apo umetudanganya lolllllllllll hiyo siagi ya ng'ombe wont work on all skin types...
Charity ni wewe tu katika wanawake 10! Tisa wote MKOROGO. Nakupa BIG BIG UP.
Dada zetu wa kimaasai wanaujua ukweli kuhusu being natural, wanapakaa only siagi ya ng'ombe....huo ndio mtoko wao na wanapendeza sana, subiri dada zetu wa hapa mjini kama hawajarudi kuiga kutoka kwa wamasai kama wanavyonyoa upara sasa....U see them r lokin bitiful!
Very Beautiful, I love those lips ahemmmmmmmmmmmmNa pia inategemea wamasai ndio asili yao kuanzia anazaliwa anatumia hayo mafuta yanazoea ngozi yake
Black bila mkorogo inawezekana
Kweli FirstLady madhara yake ni makubwa kuliko faida... pia ngozi ya uso ni very delicate mie na shangaa watu kutumia chemicals... ukisha messed up with ur face then its very difficult to get rid of marks...Kwanza Cream sio uzuri bali ni ulimbukeni tu hasa pale mtu utakapojua madhara yake..unaweza leo kuamka uso ungang'aa kwa wale watumiaji kesho ukiuangalia uso huo huo umefubaa kisa!
Uzuri wa kweli ni ule wa kuzaliwa uzuri usio na mkorogo uzuri usiochosha kuutizama
ina maana wakina FL1, Mwanajamii1 ... nao wana mikorogo??