Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Mabibi na mabwana, kaeni tayari kuendelea kuzibwa midomo kwa nguvu kubwa. Kuna tetesi kuwa DP World wako tayari kudhamini ligi kuu soka Tanzania bara.
Inasemekana awali ilikuwa mgogoro wa Yanga na Sport Pesa kuhusu kampuni ya Hier ufufuliwe halafu Yanga wavunje mkataba na Sport Pesa na kulipa fidia kisha wapate wadhamini wapya ambao ni DP Word.
Mjumbe mmoja akasema hiyo itaharibu zaidi, ni bora TFF waachane na NBC kuipisha DP World na timu zote zinufaike.
Suala la jezi za msimu ujao za baadhi ya club kuwa tayari na nembo ya NBC nalo lilijibiwa kuwa jezi zinaweza kuzalishwa upya na kuletwa kwa club zote msimu huu.
Sisi na waarabu damdam.
===
JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: DP World kudhamini ligi kuu ya Tanzania