[UZUSHI] DP World Kudhamini Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

Status
Not open for further replies.

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Mabibi na mabwana, kaeni tayari kuendelea kuzibwa midomo kwa nguvu kubwa. Kuna tetesi kuwa DP World wako tayari kudhamini ligi kuu soka Tanzania bara.

Inasemekana awali ilikuwa mgogoro wa Yanga na Sport Pesa kuhusu kampuni ya Hier ufufuliwe halafu Yanga wavunje mkataba na Sport Pesa na kulipa fidia kisha wapate wadhamini wapya ambao ni DP Word.

Mjumbe mmoja akasema hiyo itaharibu zaidi, ni bora TFF waachane na NBC kuipisha DP World na timu zote zinufaike.

Suala la jezi za msimu ujao za baadhi ya club kuwa tayari na nembo ya NBC nalo lilijibiwa kuwa jezi zinaweza kuzalishwa upya na kuletwa kwa club zote msimu huu.

Sisi na waarabu damdam.

===

JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: DP World kudhamini ligi kuu ya Tanzania
 
Mchuano ni mkali hapa mpaka muda huu DP World bado anaongoza

Huku akiwa amepewa odds win 1.2 na tanganyika kapewa point 10.5

Hapa inaonesha ni jinsi gani TZ tulivyo vibonde
 
Wadhamini hata wanaotaka kufanya harusi hata kulipia guest houses/lodges/hotels iwe ni mwendo wa kunyanduana daily non stop.
 
Kwa mtindo huu hao DP mbona wataenea mpaka kwenye siasa kwa kutumia haohao waliwatonya mitonyo ya uwekezaji. Watamsapoti mgombea wao ashinde aje alinde maslahi yao
 
Tuendelee kuwaachia wabongo bandari, ili waendelee kupiga Vizinga na Rushwa za Milion kwa siku. ??
 
Wadhamini na Ada za shule kuanzia awali hadi vyuo vikuu kusoma iwe bure 100%

Wakamatie na fursa sekta ya elimu walimu nao wafaidike na faida za DP world

Wakimaliza huko waje na huku kwenye ndoa na sherehe tumechoka kulipa michango iwe bureeeee watu waoane sie tukale ubwabwa tu kwa udhamini wa DP
😁😁😁
 
Waje haraka sana.....tumechelewa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…