Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Aaah mnaanza kuleta mzaha baada ya dogo kupona[emoji16][emoji16][emoji16]hata mimi nilitaka kuuliza huyu ni mejah wa nchi gani ananyoa hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
HhahahhahNi meja wa jeshi la nchi gani...??
Mkuu.....
Kwahiyo huyo kijana aliye vaa jeans iliyo chanika ndio meja..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzee tu mlango hauna shidaSawa mkuu, sasa naona nimeingilia mlango wa kutokea kwenye huu Uzi...teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amsamehe huenda hakujua alitendalosasa huyo dogo anaenda kufariki ki ukweli ukweli
SawaHata kama ni kiki..ila bora hajafa kweli
Kwahiyo inabidi afe kweli Sasawaliopost huu msiba wa kizushi sijui wataambia nini watu.
Ulipewa jibu kaka?Ni meja wa jeshi la nchi gani...??
Mkuu.....
Kwahiyo huyo kijana aliye vaa jeans iliyo chanika ndio meja..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mbwa kabisa hadi mimi nimeisikiliza huo wimboKiki yake naona imekiki huku mtaani kila nyumba "MAMU" washenzi sana hawa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu noma eti meneja.....
Mi mwenyewe niwajua baada ya kufariki kwao kwavile wamefufuka siwajui tenaSijui ndio nazeeka jamani mbona hao watu siwafahamu
Post#40Ulipewa jibu kaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukijibiwa na mm nitag mzee wanguNi meja wa jeshi la nchi gani...??
Mkuu.....
Kwahiyo huyo kijana aliye vaa jeans iliyo chanika ndio meja..!!
Sent using Jamii Forums mobile app