Mbobo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 1,392
- 1,818
Shirikisho la mpira wa Miguu barani Afrika CAF limepanga wiki ijayo kuvitembelea viwanja vyote vitakavyotumika kwenye michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kuona uwezekano wa kuvifanyia majaribio ya Teknolojia ya VAR.
Awali technilojia hiyo ilikuwa ikitumika kwenye mchezo wa Fainali tu ila mwaka huu CAF wataitumia kuanzia michezo ya Robo Fainali.
Awali technilojia hiyo ilikuwa ikitumika kwenye mchezo wa Fainali tu ila mwaka huu CAF wataitumia kuanzia michezo ya Robo Fainali.