V.A.R = Video Argentina Referee; Je, VAR inaibeba Argentina?

Misri kashindwa kukaza, Ronaldo ana influence kubwa za watu wazito wanaoforce mambo hata yasiyokua yawe.

Hili la jana kwa Argentina wala sio kubebwa ni uwezo wa timu kupambana mpaka mwisho.

Wapeni pongezi, msiwabeze.
Exactly πŸ“Œ
 
Haya matukio Huwa yanatokea katika team zote so unataka Kila tukio la faulo refa apige filimbi !? Huo utakuwa ni mpira au kichaaa!?
Dunia nzima kutoa haya madai mpaka magwiji wakubwa , wao sio vichaa tu kulalama bila sababu
 
Mashabiki wa Ronaldo mnateseka sana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Au kwanini unaichukia Israel halafu unasapoti Argentina?

No wonder kwanini Messi ana vinasaba vya Israel View attachment 3624954
Unazingua Sasa !!! πŸ˜†πŸ˜† Aliye kuambia Nina wachukia waisrael nani !?

Mimi naichukia serikali ya Israel na sio wananchi wa Taifa Zima la Israel niwachukie kwani wao ndio watungaji wa sera za Taifa !?
 
Unaweza kuniambia kwanini unaipenda Argentina ila unaichukia CCM?

View attachment 3624953
πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Wee jamaa bhana team zote duniani Kuna wakati zilishawahi kupata ushindi iwe Kwa halala Au Kwa ubatili nakutolea mfano France ulishawahi kupata ticket ya kushiriki mashindano ya fifa Kwa Henry kushinda goli la mkono ,
 
At the same time Kuna magwiji wakubwa pia wanaisifu Argentina kuwa ushindi wao ni wahalali na comeback Yao ni ya Karne

Ndio ujue maisha hayawahi kuendeshwa na mitazamo sawa ya walimwengu ni lazima tutofautiane
Haya , tuishie hapa
 
This is Fifa World Coup
 
Misri kama mwahisi wameonewa..Waombe mechi ya kirafiki baada ya Hili Kombe la Dunia.....Yote kwa yote. Misri, Asante kwa Kushiriki.
 
Unazingua Sasa !!! πŸ˜†πŸ˜† Aliye kuambia Nina wachukia waisrael nani !?

Mimi naichukia serikali ya Israel na sio wananchi wa Taifa Zima la Israel niwachukie kwani wao ndio watungaji wa sera za Taifa !?
"Sili dagaa ila napenda tu mchuzi wake"
 
Hata Chadema kuna wakati inapata favor, lakini kwanini CCM iwe mjadala zaidi?
 
Tofautisheni mtu kigongesha mguuwake uonekane umekanyagwa na kukanyaga mguu wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…