WAKUNJOMBE
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 615
- 624
Absolutely YESWana jamii nauliza tu...
Nina tatizo na KM/H kwenye vyombo vyetu vye usafiri,Naomba waandisi mnisaidie
Mfano pikipiki ikiwa 80km/h na Landcruser V8 ikawa on the same speed,
Je wanafika ponti B ata the same time?
Assume imetoke wakakutana katika speed hiyo
Maana kunawatu watasema ooohh wakianza cruser itakuwa mbele.
Asanteni
Hawatakuwa the same kufika destination....engine capacity ni tofauti kati ya gari na pikipiki
Hawatakuwa the same kufika destination....engine capacity ni tofauti kati ya gari na pikipiki
Wana jamii nauliza tu...

Rudi shule ukasome tena...
hapo engine capacity haihusiki..
kama pikipiki itatumia dk 20 vivyo hivyo v8
hapa ni muda na uhusiano na umbali.., siyo na chombo...

kwanza 0 to 60kmp zitatofautiana due to acceleration
Ndio maana Lowassa vipaumbele vyake ni
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
4......
5......
Hilo ni somo rahisi lisilohitaji tution.
Ndio maana akasema assume wamekutana mahali wote wakiwa 80km/hr. Kwamba huku mwanzo assume wame-accelerate sawa au V8 alipomfikia Pikipiki akapunguza mpaka dashboard ikasoma 80km/hr same as pikipiki wa pembeni yake
Ukiona V8 imeiacha hiyo Pikipiki basi kuna moja kati ya haya matano limetokea,efficient ya machine haiwezi kuwa perfect kwa 100% kwa vyovyote mfumo uliopo kwa v8 na pikipiki ( nayo inategemea ni pikipiki gani ) v8 ina weza ikaiacha hiyo pikipiki japo c kwa umbali mrefu
Ok nitarudi library mkuu...thanks
Ukiona V8 imeiacha hiyo Pikipiki basi kuna moja kati ya haya matano limetokea,
1) V8 imeongeza mwendo kuzidi ile 80km/hr
2) Pikipiki imepungaza mwendo chini ya 80km/hr
3) Yote mawili hapo juu yametokea,
4) Speed meter ya mmoja wao ni mbovu
5) Speed Meter zote ni mbovu
Swali ;iko based on assumption zaidi
wakuu nahisi kuna watu hawajanielewa..
Twendeni kwenye uhalisia,my issue is ILe speed mita ya chombo
SPEED MITER YA PIKIPIKI INASOMA 80KM/H
Na speed miter ya landcruser v8 ina soma 80km/h
Je kama zinasafiri umbali wa kutoka point A to B,watafika sawa, watatumia mda sawa,?basing speedmiter ya chombo na sio outside look au uhalisia.
Hapa issue ni speed miter za kwenye vyombo vya usafiri,je zinasema ukweli? au zimewekwa tu.
Kwahali ya kawaida we know hata konokono,kinyonga they can go kwaspeed ya km1 kwa saa na akenda samabamba na v8 inayo kwenda on the same speed.
Hajasema library, amesema rudi shule!