V8 vs pikipiki km/h

:frusty: Kwa haya majibu elimu yetu inatia mashaka kweli! 80km/h ni standard measurement haijalishi ni kitu gani au engine gani inatumika kukisukuma chombo ili mwadi zote zikiwa 80km/h na ofcoz kama hizo meter zote ni accurate basi wote watafika kwa wakati mmoja.

Otherwise ingekuwa hakuna maana ya kuweka speed limit barabarani ingebidi kila mtu akokotoe speed limit yake kuendana na aina ya chombo.

Ndo yale yake ya tani moja ya pamba na tani moja ya zege kama zinafanana, again tani ni standard measurement hivyo zote sawa.
 
Kipenyo cha tairi chaweza kuwa sababu kubwa ya vyombo hivi kufika muda tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…