AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ni fireeeMbona bado asubuhi sana kiongozi kuna shida?
Usipige kavu vaa CondomMbona bado asubuhi sana kiongozi kuna shida?
Mafuta mengiUsipige kavu vaa Condom
Vaa Condom jikinge na maambukiziMbona mmeamka na vaa kondomu kuna nini
Mafuta mengi wapi?Mafuta mengi
Kuna wanawake siku hizi wanapenda sana kuliwa kavu kuliko kuliwa na condom, nakukumbusha akikwambia hataki uvae condom wewe vaa Condom, utanishukuru baadaeNi fireee
KY JellyMafuta mengi
Imefanyaje hio KY?KY Jelly
Hahaha mkuu mimi situmii hio bia yangu ya kwanza kuanza kunywa bia ilikua ni Castle Milk siku hizi sijui km ipo ndio bia ya kwanza kuanza kunywa
Mimi Leo sitoki nje nashinda ndani mwangu hapa nimeanza Tungi mdogo mdogoHahaha mkuu mimi situmii hio bia yangu ya kwanza kuanza kunywa bia ilikua ni Castle Milk siku hizi sijui km ipo ndio bia ya kwanza kuanza kunywa
Ushakamua chupa ngapi mpaka sasa? Halafu kuna bonge la mvua sijui itakuaje kudadekMimi Leo sitoki nje nashinda ndani mwangu hapa nimeanza Tungi mdogo mdogo
Hapa nimepiga konyagiiii ndogo moja nipo BIA ya TATU.Ushakamua chupa ngapi mpaka sasa? Halafu kuna bonge la mvua sijui itakuaje kudadek
Nimetoka kuangalia gemu ya Ubelgiji na USA, Lukaku aliposhindilia goli la 4 dakika za nyonyeza 4+ bado dakika 1 mpira uishe nikazima TV, sasa huku vua limeamua halafu kuna kibaridi cha kwendaHapa nimepiga konyagiiii ndogo moja nipo BIA ya TATU.
Huku mvua imekata " si unajua home alone" nipo naangalia TBC taifaa😁
Huku mvua imekata ila Kuna Giza njee..Nimetoka kuangalia gemu ya Ubelgiji na USA, Lukaku aliposhindilia goli la 4 dakika za nyonyeza 4+ bado dakika 1 mpira uishe nikazima TV, sasa huku vua limeamua halafu kuna kibaridi cha kwenda
Saa 12 na dakika 34 huko kwenye giza ni wapi?Huku mvua imekata ila Kuna Giza njee..