Vaa KONDOMU. Kinga ni bora kuliko Tiba

Sio zote zipo hivyo zipo ambazo ukivaa km hujavaa ila unakua umevaa kwa hio vaa Condom
Twende mbele turudi nyuma condom hua tunavaa sawa ila ni kwashida shida tuu.. Macondom ni mavitu ya hovyo sana hayakaribii kabisa ule utamu natural.

Mimi hata nikiwa na mwanamke ambae namla kwa ndom hayo mahusiano hua siyachukulii serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…