Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Huku mvua tuu inazidii haaahaa.. isije kua CCM wamepiga bomu la mvua kama zile za LOWASSALeo sisikii hata gari zikipita huko barabarani kwani leo kuna nini?
hongeraaa😀😀😀Hapa nimeanza kuchangamka hapaaa
Ushafika bia ya ngapi hadi sasa hivi?Huku mvua tuu inazidii haaahaa.. isije kua CCM wamepiga bomu la mvua kama zile za LOWASSA
You tube na CHATGPT kwangu hazifanyi KAZI
Nimenunua bando yas wamenidhulumu hapa pesa zimekatwa bando halijaja
Mimi na SIMU smart zaidi ya mojaa
Hahaha yaan wamejifunga kwa marudio?Niko naangalia marudio mechi ya azam na simba, naona azam wawejifunga tena
nambie mme wangu
nitajie jina la hiyo ndomSio zote zipo hivyo zipo ambazo ukivaa km hujavaa ila unakua umevaa kwa hio vaa Condom