Ahsante sana mkuuBrand new Cadets mkuu Nkanini
Kama Mimi hizi sijui za dukani hapana aiseeMkuu Oscar, hizi ni brand new cadet au mtumba?(binafsi ni mpenzi wa mtumba)
Ni kweli mkuu kila mtu na choice zake,mimi na wewe we're drinking from the same pot,nguo zangu zote ni mtumba!Kama Mimi hizi sijui za dukani hapana aisee