Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Jumamosi mkuu nakuchek nahtaj shati 2 vp delivery s ipo napatikana tandika jiran na benk ya nmb20,000 mkuu.
Sawa mkuu, delivery ipo. Naomba unitext WhatsApp ili nikukumbushe na kama hutojali nikuunge kwenye group la WhatsApp (Nguo, Viatu n.k)Jumamosi mkuu nakuchek nahtaj shati 2 vp delivery s ipo napatikana tandika jiran na benk ya nmb
Zote mbili au
Nitahitaji hili na namba 72 siku ya ijumaa jioni. Saa Tisa na nusu nitakuwa posta ya zamani
Ndio mkuu...size 40 - 45 utapata.View attachment 1997592