Vaa ya walokole hunifurahisha sana

We Sam acha uongo walokole walikutapeli nini
 
Zamani walikuwa wanapenda Nokia tochi ile toleo baada ya Nokia jeneza
 
Huendi mbinguni ng`ooooooo!
 
Yaani kuanzia mwanzo hadi mwisho naishia kucheka tu

Sijui ni nani kawaambia wakiokoka wavae mabwanga(over size) kamwili kadogo ila nguo sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iringa wanapatikana sehemu inaitwa dabaga yaan wanvaaga mashati ya purple, orange halafu ya satin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha
hiyo kweli.
Hata sisi wasabato nao zamani ilikuwa hivyihivo ila sio yale ya kung'aa.
Siku hizi walokole nao wakipata exposure wanavaa kawaida, mfano mmoja yuko mbezi stand asubuhi anahubiri pale Jamaa Yuko smart kavaa kawaida bila mikogo ya manguo ya kung'aang'aa na hana wasiwasi.

Labda wanakuwa bize na Yesu, ila katika Yote yale Makoti makubwa kama CYBORG au Viatu rangi mbili huwa siyakubali kabisa.
 
Iringa wanapatikana sehemu inaitwa dabaga yaan wanvaaga mashati ya purple, orange halafu ya satin

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂mtoto wa baba ww mie nacheka.had kichwa kinauma..ww wawajua aisee yaan dah..hahahahahahah..wapo wengi sana pande hizo😂😂 yaan utacheka ufe....alafu trauza wanasimamisha marinda hatari tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…