Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Hahahahahaahahahah yaani suruali kama mfuko wa mashineni na mashati mapana ya mikono mirefu halafu wanachomekea upepo ukija yaan suruali na shati vyote vinapepea[emoji23][emoji23][emoji23]mtoto wa baba ww mie nacheka.had kichwa kinauma..ww wawajua aisee yaan dah..hahahahahahah..wapo wengi sana pande hizo[emoji23][emoji23] yaan utacheka ufe....alafu trauza wanasimamisha marinda hatari tupu
Yaan koti mtu akivaa utafikiri ametundika hahahahahahaha siyo poa kabisahahaha
hiyo kweli.
Hata sisi wasabato nao zamani ilikuwa hivyihivo ila sio yale ya kung'aa.
Siku hizi walokole nao wakipata exposure wanavaa kawaida, mfano mmoja yuko mbezi stand asubuhi anahubiri pale Jamaa Yuko smart kavaa kawaida bila mikogo ya manguo ya kung'aang'aa na hana wasiwasi.
Labda wanakuwa bize na Yesu, ila katika Yote yale Makoti makubwa kama CYBORG au Viatu rangi mbili huwa siyakubali kabisa.
Hahahahahaahahahah yaani suruali kama mfuko wa mashineni na mashati mapana ya mikono mirefu halafu wanachomekea upepo ukija yaan suruali na shati vyote vinapepea
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahaahahahah yaani suruali kama mfuko wa mashineni na mashati mapana ya mikono mirefu halafu wanachomekea upepo ukija yaan suruali na shati vyote vinapepea
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeuaaaaaaaaaUkiwaona kwa mbali unaweza hisi upinde wa mvua
Hyo hyo mkuu,ilikuwaga na ka ringtone ka wimbo wa TID understanding
Ha ha haaa!