Vaa ya walokole hunifurahisha sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha haaa! Mkuu umenena kweli hao ndo walokole original...wanapenda kuchanganya rangi nyingi tena za kungaa.
Ukienda kwenye mkutano wa walokole unaweza kudhan makao makuu ya UN maana bendera za kila nchi utaona.
Kwenye viatu ndo hua wananiacha hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafiti wako wa kizushi.. kati ya wanao jua kuvaa vizuri ni walokole .. mabinti wa kilokole wapo vizuri sana.. wakipiga gauni la kitenge utapenda..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una utani na kaka zake Heaven Sent wewe.
 
Memory card imejaa nyimbo za mwaitege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…