Vaa ya walokole hunifurahisha sana


KICHWA CHA HABARI KILIPASWA KUWA: NAMNA YA WALOKOLE WASHAMBA WANAVYOVAA, HALAFU UNAJUA WALOKOLE SIO WATU WALIOKOKA? WALOKOLE NI NANI? WALOKOLE NI WALUTHERI AU WAKATOLIKI AMBAYO HUYAFANYA MAMBO YA WATU WALIOKOKA LAKINI HAWATOKI KWENYE IMANI ZAO AU MAKANISA YAKO, KWA TAFSIRI HUU UNAWEZA KUTA WEWE NDO MLOKOLE
 
Bila kusahau bible kubwa mkononi kila sehemu wanayoenda, hata kama anaenda sokoni kununua mboga ataibeba tu[emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] we jamaaa umefikiria nini kuandika hii mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huendi mbingun!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…