bora hawa jamaa wanatumia email ya yahoo,
Unaweza kuscanni kweli watapokea maombi yatakayotumwa kwa email? mana nimeona hapo chini kwenye tangazo lao masharti ya jumla,maombi yaandikwe kwa MKONO na YATUMWE KWA
MKURUGENZI WA WILAYA
S.L.P 23
LIWALE
sasa ukituma kwa email si watakuambia hatujaona application yako?
Hapo ndipo pabaya ...!8. Mlinzi (Security Guard) Nafasi 2
SIFA
Awe amehitimu kidato cha Nne ambao wamefuzu mafunzo ya Mgambo / Polisi/ JKT au mafunzo ya zimamoto kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali
...
Mshahara:
Mshahara uko katika ngazi ya Mshahara ya TGOS. A sawa na Tshs. 104,410/= kwa mwezi
mpwaa mbona unaingia usiku sana???Mimi nipo kimyaaa kabisa kwani najua Taaluma yangu haitakiwi kabisaa kwani tangu uhuru mpaka leo hakuna tangazo la kazi la taaluma yangu limewahi kutolewa.
Taaluma yangu ni fine artist (imaginations and life)
Ngoja nikabebe zege